Maelezo ya sauti, Utamaduni wa 'gukuna' chini Rwanda ambapo sehemu nyeti hurefushwa 1 Aprili 2019 Wakati nchi nyingi za afrika hufanya mila ya ukeketaji wa wanawake,nchini Rwanda hali ni tofauti ...
Mila hiyo inafahamika kama 'gukuna' hufanywa na shangazi wa mtoto wa kike au mamake mwenyewe. Lengo hasa ni kuongeza ashki wakati wa tendo la ndoa. Hatahivyo mila hii imeanza kutoweka kwa vijana ...