Afisa Mkuu Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Kenyatta nchini Kenya ametumwa kwenye likizo ya ... katika hospitali hiyo wiki iliyopita na leo ilikuwa tarehe ya mwisho kwa maafisa wa matibabu ...
ambacho huwaleta pamoja wadau wa gazeti la pekee la Kiswahili nchini humo Taifa Leo linalochapishwa na kampuni ya Nation Media group. (Wakita ya Kenya ni tofauti na Wafia Kiswahili Tanzania na ...
Boniface Mogunde ni mchezaji wa ndondi anayeitumikia timu ya taifa ya Kenya inayojulikana kwa jina maarufu 'Hit squad'. Kando na timu ya taifa, Boniface pia ni mchezaji wa timu ya Kenya Police ...
Hotuba ya leo inakuja wakati huu serikali yake ikiendelea kutuhumiwa kutokana na visa utekaji wa watu, ufisadi na sera za kiuchumi ambazo zimepingwa. Wiki hii kulikuwa na wito wa kufanyika ...