Chanzo cha picha, Wizara ya mashauri ya nchi za kigeni Kenya/twitter Kenya na Somalia zimeingia katika mvutano wa kibalozi kutokana na kile Somalia inachodai ni kuingiliwa katika mambo yake ya ...
Tangazo la kukatizwa kwa uhusiano wa kiplomasia kati ya Kenya na Somalia kulikotokea juma hili kumesababishwa na mambo kadhaa ambayo yana athari nyingi katika eneo zima. Kwa mujibu wa taarifa ...