Afisa mkuu wa maswala ya mifugo nchini Tanzania Obedi Nyasembwa alisema kuwa kuku hao waliingizwa nchini humo kinyume na sheria na kwamba uwpo wao nchini humo ulikuwa hatari kwa ndege wengine.
Kuku hao huwekwa katika mazingira mazuri na ... Tiba hiyo itashirikisha dawa zitakazoimarisha kinga ya mifugo kama antibiotics , ambazo zitapunguza hatari ya magonjwa mengine yasiosikia dawa ...
Nuru itaendelea kuwaangazia wafugaji kuku nchini Tanzania ambao hawatumii dawa, hatua ambayo imewezekana kufuatia mafunzo ...
Dar es Salaam. Kupungua mifugo inayopelekwa sokoni, madai ya kuwapo wanunuzi kutoka nje ya nchi katika minada ya awali na ongezeko la mahitaji ya nyama ni miongoni mwa sababu ya ...