Mbio dhidi ya wakati zinaendelea kwa Jeshi la wanamaji la Marekani kufikia mojawapo ya ndege zake za kivita ilioanguka - kabla ya jeshi la China kufika mbele yake. Ndege hiyo ya F35-C yenye ...
Ndege ya abiria imeanguka katika eneo la Ziwa Victoria mkoani Kagera. Ndege hiyo imeanguka leo asubuhi mjini Bukoba. Polisi wakithibitisha kutokea kwa ajali hiyo wamesema wako kwenye eneo la tukio ...