Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, alitangazia bunge la nchi hiyo Ijumaa Juni 28 kuwa ameiandikia tume ya uchaguzi ya nchi hiyo kuileleza kuwa jimbo la Singida Mashariki, lililokuwa ...
Wakati huo Tundu Lissu alikuwa mbunge wa Singida Mashariki mkoni Singida, katikati mwa Tanzania kupitia Chadema. Hata hivyo, amesema hajui tarehe rasmi ya kuanza kwa kesi hiyo kwani mawakili wake ...