huku ukuaji huo ukiwa hauna manufaa yenya tija kusaidia kwa watu maskini zaidi katika jamii''. Bi Gowland, pia anasema nchi kama Nigeria ambayo inajivunia ukuaji imara na kuwa na mtu tajiri zaidi ...
shilingi sitini na moja zinatumika kulipa madeni na kwa hivo itabidi wakenya kuishi kulingana na uwezo wao katika nchi hiyo yenya mzigo mkubwa wa madeni, ambapo asilimia 60 ya bajeti inatumika ...
Mnamo mwaka wa 2021, uchunguzi wa BBC ulipata ushahidi unaohusisha wanachama wa kundi hilo nchini Libya katika mauaji ya raia na utumiaji haramu wa migodi ya kuzuia wafanyikazi na mitego yenya ...