"Wazazi siku zote wanaona ni heri mtoto augue na kufa kuliko kuuliwa na mtu halafu hawajui aliyefanya hivyo ni nani, inaumiza zaidi kwani muda wote watawaza alimkosea nini muuaji hadi akaamua ...