"Wazazi siku zote wanaona ni heri mtoto augue na kufa kuliko kuuliwa na mtu halafu hawajui aliyefanya hivyo ni nani, inaumiza zaidi kwani muda wote watawaza alimkosea nini muuaji hadi akaamua ...
Moshi. Mahakama Kuu Kanda ya Moshi, imemhukumu Sifael Kivuyo, kutumikia kifungo cha miaka 18 jela kwa kosa la kumuua bila kukusudia, mwanamume aliyemkuta chumbani na mpenzi wa kike wa mwalimu wake wa ...
Ni nani muuaji wa Nancy Mestre aliyeuawa mwaka 1994? Kikao cha pili cha Mahakama ya Juu zaidi ya Brazil kimeidhinisha kurejeshwa kwa Jamie Saad nchini Colombia kwa kumuua mwanamke wa Colombia ...
Polisi nchini Marekani wamesema mtu ambaye alifanya mauaji kisha kutuma video ya mauaji hayo katika mtandao wa Facebook amejiua mwenyewe. Wamesema Steve Stephens alijiua wakati maafisa wa polisi ...