Amesema lengo la mkutano huo ni pamoja na kuvutia wawekezaji kutoka nje ya nchi wenye rasilimali na teknolojia za kisasa, hivyo utasaidia kuongeza mtaji na teknolojia mpya, pamoja na kuchochea ...