Kombora la kisasa la Oreshnik lilitumika kwa mara ya kwanza wiki iliyopita dhidi ya mji wa viwanda wa Dnipro nchini Ukraine, hatua ambayo ilionekana kama kuongezeka kwa hatari ya mzozo huo.
Tamasha la Chakula la Coca-Cola Tanzania, maarufu kama Kitaa Food Fest ... Ni fahari kuona tunasherehekea vyakula vya asili huku tukihamasisha matumizi ya mbinu endelevu," amesema Kabula. Tamasha hilo ...
“Mwamnyeto ana kila sifa ya kuwa beki wa kiwango cha juu. Hata hivyo, anahitaji kuboresha uwezo wake. Katika soka la kisasa, mabeki wa kati wanatakiwa kuwa sehemu muhimu ya uanzishaji wa mashambulizi.
Amesema lengo la mkutano huo ni pamoja na kuvutia wawekezaji kutoka nje ya nchi wenye rasilimali na teknolojia za kisasa, hivyo utasaidia kuongeza mtaji na teknolojia mpya, pamoja na kuchochea ...