WANANCHI wa wilayani Karatu mkoani Arusha wamejitokeza kwa wingi kujipatia majiko ya gesi ya kilo sita (LPG) yanayotolewa na serikali kwa kushirikiana na Kampuni ya Lake Gas kwa bei ya ruzuku ya 50%.
Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umeingia mkataba na mtoa huduma Kampuni ya Lake Gas Limited kwa ajili ya kutekeleza mradi wa ...
Aidha, amesifu utajiri wa Tanzania katika rasilimali za asili za utalii ... Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), Dk Elirehema Doriye amesema mradi huo utawasaidia wakazi wa ...
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Tanzania na Umoja wa Ulaya zimekubaliana kuongeza upatikanaji wa masoko ya umoja huo kwa bidhaa za Tanzania na kuvutia uwekezaji ...
"Benki Kuu Tanzania imechapisha na itaendelea kuhuisha orodha ya watoa huduma walioidhinishwa ... Walionyang’anywa leseni kwa maeneo wanayotoka na idadi kwenye mabano ni Shinyanga (1), Kinonndoni (4), ...
“Tunamshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan pamoja na wizara yetu kwa kutuongoza ... vinavyosimamiwa na NCAA ambapo vituo vingine ni eneo la Engaruka lililoko Monduli ...
“Mara ya kwanza nilipigiwa simu akiwa anaenda Ngorongoro alipofika Karatu alienda saluni kisha hapo akawa anajisikia vibaya anatapika wale wenyeji wake wakamkimbiza hospitali wakagundua kuwa ana kitu ...