Serikali ya shirikisho ya Somalia na eneo la Jubbaland nchini humo zimetoa waranti wa kukamatwa kwa viongozi wao katika mzozo unaozidi kushika kasi kuhusu uchaguzi uliofanyika Jubbaland.
WAKUU wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) jana walikutana jijini hapa kujadiliana mambo mbalimbali muhimu kuhusu ushirikiano na maendeleo baina yao. Miongoni mwa mambo waliyojadiliana ni kuon ...