HALMASHAURI ya Wilaya ya Ngorongoro imenunua jumla ya dozi 44,000 za chanjo kwa ajili ya kuchanja mbuzi na kondoo ili kudhibiti ugonjwa wa homa ya mapafu (CPPP) kutoka kwa Wakala wa Maabara ya ...