Kauli hiyo ilikuwa ikitoa idhini kwa Bagamoyo Sugar Limited (BSL), kampuni tanzu ya Said Salim Bakhresa (SSBG), kupata ardhi katika Mbuga ya Wanyama ya Saadani, mkoani Pwani. Hata hivyo, wakati Rais ...
Hivi karibuni kumekuwa kukitokea migongano baina ya binadamu na wanyamapori, hata ikaleta athari kwa binadamu, pia wanyama, ikashia migongano kati yao. Ni hali inayosababisha watu na maisha mengine ...
Askari wa Uhifadhi Mwandamizi kutoka Tawa, Loiruck Moses amesema wamefanikiwa kukabiliana na mnyama huyo ikiwa ni shughuli endelevu ya kuwadhibiti wanyama waharibifu. Moses ametoa wito kwa wananchi ...
Umoja wa Mataifa na wadau wake ulimwenguni wanakabiliana na upotevu mkubwa wa wanyama na mimea, tarehe 23 Januari wanakutana jijini Nairobi, kenya kujadili jinsi ya kuepuka upotevu huo, katika mkutano ...