Polisi wamesema mtu aliyekufa alikuwa mfanyakazi wa ndege araia a Uhispania. Wengine watatu, Mhispania, Mjerumani na raia wa Lithuania, wamejeruhiwa na kupelekwa hospitali. Uchunguzi unaendelea ...
TANZANIA imepiga hatua kubwa katika sekta ya anga, ikiwa ni pamoja na kuongezeka kwa idadi ya abiria waliotumia viwanja vyake vya ndege hadi milioni 6.8 mwaka 2023 kutoka milioni 2.8 mwaka 2020. Kabla ...
"Ufaransa inafunga kikosi cha ndege za kivita katika kituo cha anga cha Kossei huko N'Djamena. Jeshi la Ufaransa linachukua uamuzi wa kuondoa ndege zake," chanzo hiki kimeongeza. Chad ilikuwa ...
Eneo la anga karibu na vituo vya kijeshi vya Marekani vilivyoko Norfolk na Suffolk limekuwa likichunguzwa kufuatia matukio kadhaa ya hivi karibuni ya uvamizi wa ndege zisizo na rubani. Wanaohusika ...
Mkuu wa majeshi ya Uingereza amesema katika shambulio lake la Oktoba 26 dhidi ya Iran, Israel ilizima karibu mfumo wote wa ulinzi wa anga wa Iran na ndege za kijeshi za kizazi cha tano mia moja na ...
Walifanikiwa kutuma mawimbi maikro kutoka kwenye ndege iliyo angani hadi ardhini Kampuni ya Japan Space Systems, iliyopewa mradi huo na serikali, ilifanya jaribio la upitishaji umeme wa masafa ...
Dar es Salaam. Wakati Serikali ikiendelea kufanyia maboresho usafiri wa anga kwa kuongeza ndege na kutengeneza miundombinu wezeshi, wito umetolewa kwa wadau wa sekta hiyo kuchangia mfuko utakaowezesha ...