Wimbo huo aliowashirikisha Khalil Harisson na Chley wa Afrika Kusini pamoja na Jason Derulo kutokea Marekani, umemtangaza sana Diamond kimataifa na hivi karibuni aliutumbuiza katika tuzo za Shirikisho ...
Upekee wa mwezi huo hutokana na shangwe ya baadhi ya watu ikisindikizwa na nyimbo maalum za mwezi huo. Kati ya nyimbo ambazo husikika kila kona kila ifikapo Desemba ni ‘Jingle Bells’ wimbo uliojizolea ...
"Sikutarajia hilo Anfield," Guardiola aliiambia Sky Sports baadaye alipoulizwa kuhusu nyimbo za "kufutwa kazi asubuhi". "Sikutarajia hilo kutoka kwa mashabiki wa Liverpool lakini ni sawa ...
Mchambuzi wa Cryptocurrency Martinez aliripoti kwamba kulikuwa na shughuli 687 zinazohusisha ADA ambazo zilizidi $ 1 milioni wiki hii. Cardano (ADA) hivi karibuni imepitia shughuli muhimu za biashara ...
MWIMBAJI wa Bongofleva, Marioo ameachia albamu yake ya pili, The God Son (2024) ikiwa na nyimbo 17, ahadi yake aliyoitoa katika Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) 2023 ni kwamba mradi huo utashinda tuzo ...
Mwezi wa kwanza una mambo mengi mfano kama ni mpangaji iwe nyumba au eneo la biashara unawaza kudaiwa na kulipa kodi, ada au karo za shule kwa watoto ni jambo lisiloondoka kichwani, siku kuu za Noeli, ...