BAADA ya Karikoo Dabi ya wanaume iliyopigwa Oktoba 19 mwaka huu kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar na Yanga kushinda bao 1-0 dhidi ya Simba, hatimaye leo inashuhudiwa ya upande wa wanawake kuanzia saa 10:00 ...
VIKOSI vya Simba na Yanga zilizotinga hatua ya makundi ya michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika kwa sasa viko katika mawindo kwa michezo ya awali ya hatua hiyo itakayopigwa kati ...