Nzige wa jangwani wameharibu mimea nchini Somalia, Kenya Uganda , Ethiopia na Suda Kusini katika kile kilichoelezewa kuwa uavamizi mbaya zaidi katika kipindi cha miaka 25.
Uganda imeamua kuwaondoa wanajeshi wake kutoka nchini Somalia ifikapo mwezi Disemba mwaka 2017. Uganda inachangia wanajeshi wengi zaidi kwa kikosi cha muungano wa afrika kinachopigana na ...