Chanzo cha picha, Getty Images Maelezo ya picha, Madaktari wanasema kunenepa kupita kiasi, kuangalia sana TV au skrini ya simu, na ukosefu wa mazoezi huchangia kubalehe mapema. Sambamba na unene ...
Namna inavyoweza kuwa hatari hutegemea ni hatua gani iliyofikia, na dalili zake zimegunduliwa kiasi gani, alisema Profesa Msaidizi wa Idara ya Upasuaji Oncology ya Hospitali ya Utafiti wa Saratani ...
Malulu amesema kuwa serikali imeweka ruzuku kwenye mitungi hiyo hivyo kila mtungi ulio kamili utauzwa kwa shilingi 20,000 badala ya shilingi 40,000 baada ya serikali kuweka ruzuku ambapo kwa nchi ...
Uchaguzi uliyovurugika kwa kiasi kikubwa, hali ambayo ilidumu hadi siku ya Alhamisi asubuhi nchini Namibia: wananchi waliitwa kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa kihistoria wa urais. Upigaji kura ...
Hata hivyo, zilidai benki hizo hazikutekeleza wajibu wake, kuzipatia mkopo huo, huku zikidai kuwa benki hizo zilitoa kiasi cha Dola 32 milioni kwa Kampuni ya Kom Group of Companies ya Nairobi Kenya.
Kwa mujibu wa gazeti la The Citizen huko Afrika Kusini, Chiefs wapo tayari kutumia kiasi kikubwa cha fedha ili kuhakikisha mchezaji huyo anajiunga na kikosi chao. Hii inajumuisha ofa bora zaidi kuliko ...
Ndoa ya pili, yenye watoto wawili, nayo haionekani kuchukua uelekeo tofauti. Mwanaisha anamlalamikia mume wake kuwa ni mtu katili asiyejali familia yake, lakini ukimsikiliza vizuri, hata yeye ana ...