Malulu amesema kuwa serikali imeweka ruzuku kwenye mitungi hiyo hivyo kila mtungi ulio kamili utauzwa kwa shilingi 20,000 badala ya shilingi 40,000 baada ya serikali kuweka ruzuku ambapo kwa nchi ...
Uchaguzi uliyovurugika kwa kiasi kikubwa, hali ambayo ilidumu hadi siku ya Alhamisi asubuhi nchini Namibia: wananchi waliitwa kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa kihistoria wa urais. Upigaji kura ...
Huku kukiwa na hofu ya Israel kuanzisha operesheni ya ardhini huko Gaza wakati wowote, Iran imeonya kuwa huenda ikachukua hatua za 'tahadhari'. Ufyatulianaji risasi wa hapa na pale pia unaendelea ...
Utafiti wa sasa unakadiria kuwa kati ya kila watu 40, watu watano wana virusi vya corona na watu 1,000 wanaweza kufa kutokana na ugonjwa huo, au asilimia moja ya watu 1000. Siku ya jumapili ...