Taarifa hiyo pia imeeleza Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) mstaafu, Said Mwema ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Kampuni ya Magazeti ya Serikali Tanzania (TSN), akichukua nafasi ya Hab Mkwizu ...