Staa wa Bongo Fleva, Phina na Otile Brown wamerudi tena studio na Desemba 6 kitasikika kile walichofanya huku ikiwa ni mwendelezo wa mwanamuziki huyo wa Kenya kushirikiana na wenzake wa ...