Daktari wa Simba, Naima Mohammed amesema upasuaji huo unasababisha kipa huyo kukaa nje ya uwanja kwa miezi nane kabla ya kurejea dimbani ambapo atakosa msimu huu wote wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania ...