Polisi wamesema mtu aliyekufa alikuwa mfanyakazi wa ndege araia a Uhispania. Wengine watatu, Mhispania, Mjerumani na raia wa Lithuania, wamejeruhiwa na kupelekwa hospitali. Uchunguzi unaendelea ...
MANCHESTER, ENGLAND: NAHODHA wa Manchester United, Bruno Fernandes aligeuka shujaa baada ya kuokoa maisha ya mwanamume mmoja kwenye ndege akiwa anakwenda jijini Lisbon, Ureno kwa ajili ya kujiunga na ...
Ndege ya kivita ya Urusi imegongana na ndege isiyo na rubani ya Marekani, na kusababisha ndege ya Marekani isiyokuwa na rubani kuanguka kwenye Bahari Nyeusi, jeshi la Marekani limesema ...
Shirika la ndege la Singapore limesitisha kwa muda safari za ndege za Boeing 737 Max 8 zinazoingia na kutoka ndani ya nchi hiyo. Uamuzi huo umetolewa baada ya ndege ya kampuni ya ndege ya Ethiopia ...