Polisi wamesema mtu aliyekufa alikuwa mfanyakazi wa ndege araia a Uhispania. Wengine watatu, Mhispania, Mjerumani na raia wa Lithuania, wamejeruhiwa na kupelekwa hospitali. Uchunguzi unaendelea ...