Kampuni mbili kubwa zaidi za mawasiliano ya simu za mkononi nchini Kenya Safaricom na Airtel zitaanza kusaidia kurahisisha usambazaji wa pesa chini ya mfumo unaowawezesha wateja kuweza kutuma ama ...