DODOMA Jiji jana ilipokea kipigo cha mabao 2-1 kikiwa ni cha sita katika Ligi Kuu Bara kutoka kwa Singida United, lakini kocha wa kikosi hicho amekiri wameangushwa na uzembe walioufanya ...
Serikali imesema kasi ya vifo vitokanavyo na magonjwa yasiyoambukiza inazidi kuongezeka hali inayosababisha Watanzania wengi kushindwa kufikia umri wa miaka 66 ambao ni wastani wa kuishi. Takwimu ...