Joto la uchaguzi nchini Tanzania linazidi kupanda ambapo taifa hilo la Afrika Mashariki linafanya uchaguzi wake wa tano tangu kuasisiwa kwa demokrasia ya vyama vingi zaidi ya miongo miwili iliyopita.
Zaidi ya Sh bilioni 20 zimekusanywa na Shirika la Reli Tanzania (TRC) tangu lilipoanza kutoa huduma za kusafirisha abiria kupitia treni ya kisasa ya SGR. Safari za treni hiyo zilianza rasmi Julai ...
Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi Tanzania, Boniface Kikumbi maarufu King Kikii amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Ijumaa Novemba 15, 2024 akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya ...
1. Hadi sasa Nandy ameshinda mara nne Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) 2021 & 2023, mara moja The Orange Awards 2023 huku akitoa EP tatu Taste (2021), Maturity (2022) na Wanibariki (2021) pamoja na ...
Dar es Salaam. Nishati safi ya kupikia, utunzaji wa mazingira, usalama wa chakula na diplomasia ya uchumi ni miongoni mwa maeneo muhimu ambayo Tanzania inatarajiwa kuyawekea msukumo inapokwenda ...