Mradi wa uitwao Agri-Jeunes uliozinduliwa na Mfuko wa Umoja wa Mataifa wa Maendeleo ya kilimo, IFAD ili kusaidia raia wa Senegal kuondokana na umaskini, na janga la njaa, umewapatia vijana wa kiume na ...
Kufuzu kwa Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 ni hatua kubwa katika historia ya soka la taifa. Hii si tu ushindi kwa timu ya Taifa Stars, bali pia kwa ...