"We view the Maritime Silk Road not just as a trade network but as a transformative force connecting distant civilizations, enriching humanity's shared cultural heritage, and laying the foundation for ...
WAKUU wa Nchi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wamemwidhinisha Rais William Ruto wa nchini Kenya kuwa Mwenyekiti Mpya wa jumuiya hiyo, baada ya Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini, kumaliza muda wake.
Hiki ni kipindi kinachohusisha mahojiano ya kusisimua na wageni mbalimbali kutoka ndani na nje ya Japani. Wakati huu tunakuletea sehemu ya tatu ya ripoti kuhusu tukio linalojulikana kama Osaka Africa ...